Developing & Promoting Young Talents & Businesses in Tanzania
Realization, Maximization and Utilization of potentials
Friday, June 13, 2014
UZINDUZI WA KITABU - By Doreen Lifard
Hii si ya kukosa. Uzinduzi wa kitabu cha kijana huyu Doreen Lifard utakaoambatana na Tamasha la Kusifu na Kuabudu pale Uhuru Moravian (karibu na Msimbazi Centre) tar. 15 Juni, 2014 siku ya jumapili kuanzia saa 7:30 mchana
No comments:
Post a Comment