Saturday, May 18, 2013

THE NIGHT OF INSIGHT FOR GLOBAL IMPACT

By Brother Geoffrey Kingu
“Mtumishi aliyetumwa na Mungu”

Ezekieli 12:22-25, Hakutakuweko tena mithali ya ubatili. Bwana atanena na litatimizwa. Maobolezo 3:37; “nani ataongea neon asilosema Bwana na likatimia?” Isaya 44:26-28

MOYO ULIOCHANGAMKA
Yeremia 30:19 Wachangamka
-       Moyo uliochangamka ni dawa. (Moyo ni kiwanda cha dawa au sumu)
-       Kuweka mikono juu ya wagonjwa na wakapata afya.

The joy of the Lord is my strength. Stronger than anything, than poverty, death, sickness etc. Isaya 35:10
Furahini siku zote. Ayubu 8:19 Kuchipuka!! Na wengine

Ukifuatilia Neno utakuwa neno.
Kicheko na furaha ni njia ya kuchipuka. Tusiwe wa kulaumu na Mungu atatuzidisha!
Mathayo 13:23 received seeds on good grounds
Mtu aliyeokoka siyo wa kawaida, ni genious! Asiishi kikawaida. Wengi hukemea illusion while things like death should fear us!

“AS FAR AS YOUR EYES CAN SEE, I HAVE GIVEN YOU!” Discover what you are. The world is too small to accommodate us. Deuteronomy 1:11 Kuzidishiwa mara 1000. You are not blessed until you are multiplied. Wagalatia 3:29 Urithi wa Ibrahimu ni wetu. Warumi 4:13. Ukifanya kitu bila kuelewa neno umepoteza wakati.

Kuelewa. 1Petro 2:24 “kwa kupigwa kwake sisi tumepona...” Isaya 60:1, 22 Arise and shine. Mdogo atalkuwa elfu. You can’t just go normally while you have 1,000 peoples’ destiny in you!
Malalamiko ni lugha ya wanyonge. You can be strength for the weak, then become a strong nation.
Yusufu the accused “criminal” becomes the “Prime Minister” na mfumo wa kodi alioutengeneza bado unatumika hadi leo! Project ya 14year old Houseboy. That SPIRIT of God, the world will knock your doors for solutions.

What are you doing with the word of God that you have? The agenda of born agains should be multiplication.
Watengeneza ajira, mtu mmoja ajira 1,000. Uzao wa Ibrahimu. Mwanzo 14: , 26:12-14, Wagalatia 4:28. Baraka ya uzao wa Ibrahim inatafuta mahali.
Hatutakuwa wachache wala wanyonge. Wenye nuru “Inuka” elewa Neno.

1Petro 2:24 The condition (like feeling sickness) can change, but reality/the truth of being already healed can’t change. Sickness isn’t our terminology. Dominate your health. (His 14th year in a row without being sick)

Tukimpokea Mungu na kuwa moyoni mwetu, tunakuwa wenyeji wake duniani. Viwango vya uelewa na kupambanua mambo.
Yohana alifikia viwango vya juu na hata wakampika kwenye pipa la mafuta hakufa, wakamtumpa kisiwa cha Patmo akaandika ufunuo!

Mungu akiwa ndani yetu, na Uungu wake, hali ya udhaifu wa kibinadamu inatoweka kabisa. Tu miungu sisi! Understand and take the word of God into practice. Kuliishi Neno! Hatutakuwa wachache na tutatukuzwa!!
Warumi 8:29-30 He foreknew us. Kusanyiko la waliochangamka ndiyo aliowachagua.

Isaya 55:4-5 “taifa lisilokujua litakukimbilia” (utukufu). Then prophecy for Lady Doreen (kujua Insight ya Neno – atakwenda ktk taifa asilolijua kuhudumu kwa nyimbo. Utukufu. Mtaji uko ndani yake!)
2Wakorintho 8:9, Wafilipi 4:9, 15. Wafilipi walitoa zaidi, Wakorintho walishirikishwa mpango lakini hawakufanya. My God shall supply (not give) all your needs according to His Glory.

The more you do God’s word, the Glory of HIS reveals and manifest in our lives!! Mataifa watakuja kwa kukukimbilia (siyo kuja tu, bali kwa kukukimbilia!) Ayubu 22:29, Mungu akikutukuza (bilioni3) za Ayubu zikakata zote, katika Ayubu 42 akarudishiwa mara mbili zaidi pale alipowaombea rafikize. Alipowaombea wakarudi kumpa Ahsante ya fedha na dhahabu! Alikuwa akiachilia kwao chake pia (hazina)

The Glory of God will mento you. The GIANT is born within you. Nobody in Christ is small. Mungu anashughulikia na vizazi vyao. Isaya 61:9 (zamani kabla ya dhambi) Hatutazaa ombaomba. Zaburi 37:25 “nilikuwa kijana na sasa ni mzee...” Kizazi chako kitajulikana!

THERE ARE MULTI-INFLUENTIAL PEOPLE COMING OUT FOR WORLDWIDE SERVICE!

No comments:

Post a Comment

JENGO LA KANISA TAG CITY HARVEST LAWEKWA WAKFU RASMI

HATIMAYE jengo Kanisa la TAG City Harvest limezinduliwa na kuwekwa wakfu na Askofu Mkuu wa Tanzania Assemblies of God, Rev. Dk. Barnabas Mt...