Monday, September 3, 2012
Just a reminder - James Nteleva
UNAPOTAZAMA NA KUSIKIA MATUKIO YA KUTISHA NA WATU KUKOSA UPENDO MIONGONI MWAO. WATAWALA KUWA WANAFIKI NA KUTUMIA PROPAGANDA KUFICHA UOVU MKUBWA WANAOUFANYA, KAMA HUU ALIOFANYIWA MWANDISHI WA HABARI NDUGU DAUDI MWANGOSI, VITA MAHALIMAHALI, MATETEMEKO YA ARDHI, NJAA, WATU KUPENDA PESA KULIKO KUMPENDA MUNGU, MAFURIKO, VIMBUNGA, KUONGEZEKA KWA JOTO, MAGONJWA, MANABII WA UONGO NA UOVU MWINGINE MWINGI, BASI UJUE ULE WAKATI TUNAOUNGOJA KWA HAMU, WA MFALME WA WAFALME ASIYEKUWA NA MFANO WA VIONGOZI WANAFIKI WA DUNIA HII, YESU KRISTO BWANA WETU, UMEFIKA, KAMA ILIVYOANDIKWA KATIKA MATHAYO 24. NDUGU, NINACHOFURAHI NI KUWA PAMOJA NA DHIKI ZOTE HIZI, KUNA TUMAINI KATIKA YESU KRISTO. YOHANA 16:33b NA KATIKA MATHAYO 25:42, ANATUASA KUKESHA. NDUGU YANGU, HEBU TUTUBU NA KUMGEUKIA MUNGU NA KUDUMU KATIKA SALA KAMA ILIVYOANDIKWA KATIKA WAKOLOSAI 4:2 MUNGU ATUSAIDE SOTE KUYATENDA YALE YAMPENDEZAYO YEYE PEKEE. AMEN
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
-
I cordially invite you to the release of the Biography of the late Evangelist Bishop Dr. Moses Kulola; YOOOH; UTAPENDA NISEME? HUDUMA NA...
-
ACQUIRING SKILLS FOR CAREER PROGRESSION - DR. C. SOKILE Acquisition of Necessary Training and Skills Formal employment uses training as ya...
JENGO LA KANISA TAG CITY HARVEST LAWEKWA WAKFU RASMI
HATIMAYE jengo Kanisa la TAG City Harvest limezinduliwa na kuwekwa wakfu na Askofu Mkuu wa Tanzania Assemblies of God, Rev. Dk. Barnabas Mt...
No comments:
Post a Comment