Sunday, February 3, 2013

AIDHA UMEAJIRIWA AU UNATARAJIA KUAJIRIWA SOMA: By Victorleus Msumanje


A manager-
Kitabu Kimoja Kilisema "alivyo mchungaji ndivyo walivyo na Kondoo wake" Nauamini sana Huu Msemo.If you are the employee- angalia sana Boss wako anaamini katika nini mostly in a course of time mtajikuta all your actions are directed to what he/she bilieves, kwa Employees mnaojifanya mna maono yenu ambayo hayafanani na mtazamo wa Boss kila siku utaishia kuwa frustrated- and you will not grow not because you are not potential-there is the potential blocker that you cant by-pass.Inakuwaje kama maono uliyonayo yangepata sehemu nzuri ambapo yangepata nafasi ya kukua-ungekuwa so happy na kwa muda mfupi ungekuwa so far.Sio tu kwa Potential people- na kwa wale ambao ndo kwanza unatafuta mentor akusaidie upate msimamo- Unakutana na Boss ambae Mtazamo wake wa kioungozi-ukiudaka na kutembea nao unaua potential zako zote- unabaki mtu wa ndio boss na kuambiwa cha kufanya kila siku, sio kwamba huoni, ila ni kwa sababu upande aliokupeleka huwezi kuona lolote-nikuhakikishie hapo utakuwa unasubiri demotion siku moja.Managers-We bilieve kwenye mtazamo bora wa Kuongoza watu-ila ifike sehemu tuache Umanager pembeni tutafute sana kuwa right mentors of our people tuwasaidie kwenye ndoto zao na vipaji vyao kuliko kuwalazimisha wafuate tunachoamini,tutumie talents zao kuwaweka kwenye nafasi na kazi zitakazowasaidia kukua at the same time kuleta manifaa makubwa kwenye Bussiness.What can I say kwa employee mwenzangu..Watch out- Ukiona vipi CHAPA MWENDO tafuta mahali pa kukusaidia UKUE.From: https://www.facebook.com/msumanje

JENGO LA KANISA TAG CITY HARVEST LAWEKWA WAKFU RASMI

HATIMAYE jengo Kanisa la TAG City Harvest limezinduliwa na kuwekwa wakfu na Askofu Mkuu wa Tanzania Assemblies of God, Rev. Dk. Barnabas Mt...